Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5.
Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda mamlaka za serikali, kumanage cash na accounts, kudhibiti matumizi na kuratibu, n.k. Tuma CV kupitia...