Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Judith Kapinga, ameitaja Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuwa mdau muhimu katika juhudi za Serikali za kuongeza thamani ya mazao, kuboresha bidhaa za wajasiriamali na kukuza biashara nchini, akisisitiza umuhimu wa kuwafikishia...