Katika hotuba yake siku ya Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan amesemq vyombo vya habari sio mshindani wa serikali bali ni mshirika wa serikali.
Amesema kwa kipindi 'Hicho' kulikuwa na ushindani lakini hatukuweza kufika pazuri. Lakini sasa kama nchi tuko vizuri...