Ndugu zangu Watanzania,
Tuwe tunaeleweka tunaposema ya kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe , Ameinuliwa na mkono wa Mungu Mwenyewe, aliandaliwa na Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu, amefika hapo alipo kwa mpango wa Mungu na kwamba amekuja na kuletwa kwetu kama zawadi kwa...