miadi hospitalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Madaktari mnapotoa appointment mgonjwa afike muda fulani nanyi pia muwe mnawahi, inakera mgonjwa anawahi daktari anafika masaa 3 baadaye

    Wakuu salama? Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…