Haikuwa kazi rahisi kufika hii miaka,
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia.
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae...