miaka 100

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa wanayo dhamira ya kuimarisha nafasi ya TCB katika sekta ya kibenki nchini. Akizungumza kwa niaba ya...
  2. Leo sio tu siku ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA. Leo ni siku ya kuamua mustakabali wa miaka 100 ijayo ya Tanzania

    Sidhani kama Wajumbe wa CHADEMA wanalifahamu hili? Tanzania ilipofikia sasa, hasa kutokana na changamoto za rushwa na uongozi mbaya unaogharimu maisha ya wananchi masikini kila kukicha, ni jambo moja tu linaloweza kutubadilishia hali hii na kuhakikisha uwepo wa Tanzania imara yenye maendeleo ya...
  3. Nina ndoto ya kufikisha miaka 100 ya kuwa hai duniani

    Habari Wadau see Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁 Yaani niishi hadi mwaka 2100 Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
  4. Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  5. Interior ya magari ya mwaka 1924 vs miaka 100 baadae 2024!

    Baadhi ya picha za interior ya magari ya miaka ya 1924. Na chini interior ya magari mengi ya huu mwaka 2024. Tofauti ya miaka 100 sio mchezo.
  6. M

    Unajua kama kuna watu walilala miaka 100 wakijiona kama siku moja?

    Surah Al-Kahf (18:9-26): Katika aya hizi, Mwenyezi Mungu anasimulia kisa cha Ashab al-Kahf, ikiwemo hadithi yao ya kuingia pango na kulindwa na Mungu kwa miaka mingi. Hapa kuna baadhi ya aya muhimu: Surah Al-Kahf (18:10): "Wakati wa vijana walipokimbilia pango wakasema: ‘Mola wetu! Tuonyeshe...
  7. Katika Kuadhimisha Miaka 100 Nchini Tanzania, TotalEnergies, Yazidi Kufanya Mambo!, Yazindua Shindano la VIA, na Kumwaga Madawati 70, S/M Makuburi!

    Salaam. Katika kuadhimisha miaka 100 ya uwepo wake nchini Tanzania, Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, yazidi kufanya makubwa, yazindua shindano la VIA, kuhamasisha usalama barabarani, yamwaga madawati 70, Shule ya Msingi Makuburi. Nimebahatika kuhudhuria tukio hilo, 1. Kwanza nikazungumza na...
  8. Hii Ndiyo Teknolojia sasa, Baada ya Miaka 100 Israel Imefanikiwa kuunda hii kitu.

    Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya...
  9. N

    Ukiwaelewa Walimwengu.... hawakupishida

    Kwa jinsi tulivyoumbwa hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, kila dereva anamuona mwenzake hajui kuendesha chombo cha moto.
  10. Nafikiri miaka 100 ijayo taasisi ya ndoa haitakuwepo kabisa

    Hi, Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho ni kudanga, wanaume wataona wanawake wote ni wadangaji, hata wakioana, muunganiko wa moyoni...
  11. Unaionaje Africa miaka 100 Ijayo? Case study: Tanzania

    Habari wanajamvi? Toka nchi nyingi za Africa zipate uhuru (Political independence) toka Kwa mkoloni mengi ysmefanywa kwe sector mbali mbali mbali,kijamii na kiuchumi, ni zaidi ya miaka 50 toka nchi nyingi zipate uhuru ila kasi ya maendeleo imekuwa aiendani na uvunaji rasilimali( Resources...
  12. Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
  13. K

    "Heri wao walioushuhudia uongozi wa Rais Samia", yatakuwa maneno ya vizazi vyetu 50-100 ijayo

    Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia. Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
  14. B

    Msigwa: hakuna bandari iliyouzwa kwa miaka 100 na hakuna bandari itakayouzwa Tanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari za Tanzania zimeuzwa kwa kampuni ya DP World kutoka Dubai kwa miaka 100 na kusema jambo hilo halina ukweli wowote. Akizungumza na waandishi wa habari wa kimtandao (JUMIKITA)...
  15. N

    "Plasduce Mbossa: Hakuna Mkataba wa Miaka 100 katika Bandari ya Dar es Salaam"

    Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu. Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
  16. Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  17. J

    Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  18. Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba. Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai)...
  19. R

    Ilani ipi ya Uchaguzi inatumika kutekeleza issue hii nyeti?

    Ulifanyika uchaguzi 2020, Chama Cha mapinduzi kilimpa Magufuli na sa100 ilani waliyopitia nayo Nchi nzima kuinadi Kwa wananchi. Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza Magufuli na Sa100 kuuza au kukodisha bandari yetu ya Dar Kwa Miaka 100 au zaidi, Bali ilielekeza...
  20. TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…