Wakuu, hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumpiga kikatili mzazi wake wa kumzaa hadi kumuua kisa imani za kishirikina?
====
Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Mohamed Bakari mwenye umri wa 25 ambaye ni mkulima mkazi wa kijiji cha Masiku kata ya Malingula wilaya ya Masasi mkoani hapa...
Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
Habari Wana JamiiForums
Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano
• Kipato
• Chumba uwe umepanga
• Shughuli yoyote itakayokuweka ubize
Vingine Wadau Ongezea kama nimesahau
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.
Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.
Hawa diaspora...
Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu...
Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25
Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
Nguvu ya Watu
Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu.
#EACat25, #EACBorderless #OnePeopleOneDestiny #SamiaSuluhuHassan
Habarini Wakuu
Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii...
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini
Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya
Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni...
Wanabodi,
Leo tunaadhimisha miaka 25 bila ya Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho rasmi Silver Jubilee yanaendelea kule kijijini kwake Butiama, swali ni "Kwa Miaka hii 25 Bila Nyerere, kwa vile Nyerere alikuwa mjamaa wa kweli, je sisi Watanzania, tunamuenzi kwa dhati...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere:
1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
baba wa taifa
julius kambarage nyerere
julius nyerere
kambarage
kumbukizi
kumbukizi julius nyerere
miaka25
mtumishi
mtumishi wa mungu
mungu
mwalimu nyerere
nyerere
nyerere day
oktoba 14
Kwako Mwalimu Nyerere;
Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako.
Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
Simjui na wala hanijui, tulikutana kwenye baa moja hivi akanipa namba ya simu nikampa. sasa kila siku ananipigia au kutuma sms kuwa anataka kimapenzi. Namzidi miaka 20 hivi, shinikizo ni kubwa. Je nifanyaje?
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
Bill Gates anasema iwapo Dunia itakwepa kuingia kwenye vita ya Dunia basi itaangukia kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo.
Gates anasema hivyo ni vitu visivyokwepeka, unkwepekable things, either world war ama pandemic.
Gates anasisitiza kwamba hivyo vitu ndio vinampa mawazo sana...
Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi.
Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili kufikia maendeleo endelevu na kuimarisha uchumi wa taifa. Teknolojia ina uwezo wa kuleta mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.