Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34.
Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
Wakuu habari .
Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo .
Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo.
Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi .
Maana at the age...
kabla sijafikisha miaka 35 nataka nimiliki plot /viwanja/mashamba kwenye kila mkoa Tanzania Bara, Mungu anitangulie kwenye hili jambo, nimebaini utajiri wa kizazi kijacho upo katika aridhi, usipomiliki aridhi baada ya miaka 20 hali itakuwa mbaya sana, Aridhi inaenda kuwa dili.
Yaani
Tayari ngoma inasoma 35, hujajenga, hujaoa, huna kazi, huna biashara, huna connection yoyote.
Ila vitu ulivyokuwa navyo, una kitanda tayari na mashuka yako na baadhi ya vitu vya ndani, Una degree yako moja, umeamua kurudi nyumbani hapa hapa Dar kwa mzee kujipanga upya, mzee nae...
Kama mada inavyojieleza
Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU
Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42
Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu.
Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike.
Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana.
Tuwasiliane
NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki).
Tuwasiliane in Box.
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha...
Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia).
Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
1. Kudhibiti ulimi.
Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya
2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni.
3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa epuka wivu Jifunze Kwa waliokuzidi.
4.familia unayotengeneza ni Jambo muhimu haijalishi ulitoka...
Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya.
Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa.
Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano.
Wengi wao wanatoa ahadi...
Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021.
Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa.
Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
VIONGOZI WA KITENGO CHA ARDHI JIJI LA MWANZA LINATUUMIZA WANACHI WALALA HOI
Kada wa CCM Abubakar Hassan Self amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati mgogogro wake viwanja na Halmashauri ya Jiji la Mwanza uliodumu kwa miaka 35 kama mgogoro wa Eneo la Rwagasore lilivyotatuliwa...
Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?
Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.