Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani?
Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri...
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe
Unapiga nguo pasi mwenyewe
Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe
Unajitandikia kitanda mwenyewe
Unajiandalia chakula mwenyewe
Unaishi peke yako
Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k
Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
Kwema Wakuu!
Nafahamu Nina rafiki zangu wakike waliosingle mothers.
Ninajua wapo dada zangu wakike single mother
Na ninajua wapo watoto wakike huenda wakawa single mother.
Lakini hii haitanifanya nisiseme Jambo hili.
Kama Una Miaka chini ya arobaini yaani ni kijana. Mimi kama Taikon Master, na...
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.
Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
My Friends, ladies and gentlemen,
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani,
nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao nimeuanisha hapo juu, ambao bado wanaishi kwa wazazi wao, hawajaoa wala hajaolewa?
Kumbuka pia kijana...
Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) .
Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani.
Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo...
Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana.
Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume.
Nyumba yangu iliyozungukwa na eneo lenye ukubwa wa hekari 1 na humo ndani nitakuwa nifanya maendeleo...
Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu alipopata mtoto wake wa kwanza.
Kuzaliwa kwa watoto hao kulitangazwa katika video iliyosambazwa TikToka na...
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu.
Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
Huu ndio umri wa watu wengi wa lala salama katika mahusiano ya kufa na kuzikana.
Kama umefikisha huo umri,na mahusiano yako hayaeleweki eleweki, chukua hatua mapema.
Kama ni mwanamke, na una kipato na hujapata mtu wa kueleweka, tafuta mwanaume yeyote choka mbaya ambaye atakuheshimisha na...
KAMA KIJANA MDOGO ANGEKUJA KUNIULIZA KUWA; NI MHUSIKA GÀNI KWÈÑYE BIBLIA AWE ROLE MODEL WAKE. MIMI NINGEMCHAGULIA MHUSIKA HUYU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Leo sitaki kugombana na Mtu. Sitaki kumkera Mtu yeyote. Siko na mood ya kuchokozana Wala kurushiana maneno. Ingawaje kwangu it's...
Wakuu nimeona hii youtube.Binafsi nimeumia sana.
“washiriki wa Tanzania wameendelea kurudisha ukame nyumbani kwa zaidi ya miaka 50 bila midali ya dhahabu.”
Ni huzunini kwa kweli.
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/sports/tanzania-at-the-olympics-50-years-of-missed-opportunities-4722068...
Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
Dunia inabadilika sana, inakwenda kasi sana. Siyo Dunia ya busara na heshima tena bali ni Dunia ya akili mpya zinazoweza kutatua changamoto.
Hakuna Sehemu Duniani maendeleo yanaletwa na busara na hekima na hakuna uhusiano kati ya umri na busara. Kama ujanani ulikosa busara na hekima siyo rahisi...
Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Kenya Profesa Becky Ndeto, amesema sera zilizotekelezwa na China baada ya kuanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, zimesababisha ukuaji wa uchumi usio na mfano, kuleta maendeleo ya kiteknolojia, na kupunguza umaskini.
Akiongea...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, bwana Chalamila akiwa Ikulu leo amesema ukijiona una miaka 40 au zaidi na huna hela usimlaumu Rais kwani unakuwa umezaliwa wakati wa Mwalimu na katikati vimepita vipindi vingi vya uongozi, akidai kwanini alaumiwe mtu mwenye miaka mitatu kwenye uongozi.
Chalamila amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.