Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Watu wenye umri wa miaka 40 au zaidi na hawana hela hawapaswi kumlaumu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwakuwa Watu hao wamezaliwa wakati Mwl. Nyerere akiwa madarakani na vimepita vipindi vingi hivyo hawapaswi kumlaumu Rais...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.
Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.