KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE
Anaandika, Robert Heriel
Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa.
Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...