MAHAKAMA ya Mji wa New York nchini Marekani, imemhukumu Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez (55) kifungo cha miaka 45 jela na faini ya dola milioni nane kwa makosa ya ulanguzi wa madawa ya kulevya.
Hernandez amehukumiwa kwa kuyasaidia makundi ya wauzaji wa dawa za kulevya tani...