Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Temeke umesema utaendelea kuishi kwa vitendo malengo ya kuasisiwa kwa Chama Chama Mapinduzi CCM kwa kuwajali watu wote kwani Chama hicho ndio kimbilio la wanyonge
Wakizungumza wakati wa Matembezi maalumu yaliyokwenda sambamba na kutoa msaada wa vitu...
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee
Sasa kwa la ajabu gani lilifanywa na CCM hadi watizamwe kama mfano?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Wakuu,
Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama.
Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone.
https://www.youtube.com/live/8aNDV9Y2klA?si=CGbtC53BNZ6A5_yt
Huyu hapa msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz akiwa anaingia kutumbuiza...
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM.
Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya...
Mbunge wa Vijana, Mhe. Amina Ali Mzee amewaomba vijana wa Tanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 04/02/2025 katika CCM @48 Marathon & Bash iliyoandaliwa na UVCCM kwa ajili ya kuchangia Damu 🩸 kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu ambao wana uhitaji wa kuongezewa damu.
Pia, amewakaribisha katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.