Wakuu,
Kwenye events hizi mbili za mwisho za CCM kuna kitu nimejifunza.
Unakuta msanii anaenda ku-perform huko CCM alafu anavaa manguo ya CCM then akienda kwenye vyombo vya habari akiulizwa yeye ni CCM anakataa anasema alikuwa tu kazini.
Sasa kama ulienda ku-perform tu kama kazini, mnaenda...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
Wakuu
Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!
Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma...
Leo Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 48 tangu kianzishwe. Chama hicho kinaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Dodoma ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi.
Kwa vile takriban wiki nzima kabla ya sikukuu hiyo, viongozi na wanachama wa...
Mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Jamila Ally Ashery kutoka wilaya ya Dodoma Mjini amesema CCM ikisherehekea miaka 48 inajivunia rekodi ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi kupitia Wizara mbalimbali za Serikali. Ameongeza kuwa, uteuzi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu.
Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
Wakuu
Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM
Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?
Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji...
UWT ITILIMA: JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA ITILIMA (UWT); MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
Tarehe: 31 Januari 2025
Katika kuadhimisha miaka 48 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wanawake Wilaya ya Itilima (UWT) ilifanya maadhimisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.