Leo Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 48 tangu kianzishwe. Chama hicho kinaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Dodoma ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi.
Kwa vile takriban wiki nzima kabla ya sikukuu hiyo, viongozi na wanachama wa...