Leo ni maadhimisho ya miaka 51 toka zanzibar na tanganyika waungane Tv nyingi zipo live tufuatilie na tuweke updates zote hapa
=============
Leo tarehe 26 Aprili 2015 ni miaka 51 tangu mataifa mawili ya Tanganyika na Zanzibar chini ya viongozi wa mataifa haya mawili, mzee Karume na Mwl Nyerere...