Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo...
Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia Maulid Hassan Maulid (18) kwa kosa la mauaji ya mtoto wa miaka 6, ambaye alibakwa hadi kufa akiwa njiani akienda shuleni.
Leo nimeona niwaletee kisa cha Zambia kupoteza marais wao wawili wakiwa madarakani ndani ya kipindi cha miaka 6.
Levy Patrick Mwanawasa alikuwa Rais wa awamu ya tatu na Rais wa Kwanza kufia madarakani kutokana na stroke mnamo August 2008.
Mwanawasa alifarikia Paris alipokuwa anapatiwa...
Niwapongeze watanzania (hususani watanganyika) kipekee zaidi watumishi wa umma kwa kufanikisha nchi yetu kuwa na moja ya miundombinu na usafiri wa kisasa nchini hakika pongezi ziende kwenu na naamini mtamsamehe magufuli kwa kutiwapandisha madaraja ili tunufaike tunu njema kama hii.
Lakini siku...
Leo kuna jambo nimelisikia kutoka kwa Mtaalamu mmoja wa Saikolojia aliyehojiwa na Clouds FM akisema matukio ya Ukatili yamekuwa yakiendelea kutokea kwasababu Watoto wanaoishi katika mazingira hayo wanaharibiwa kisaikolojia na hali hiyo inawafanya kuja kutenda Ukatili pale wanapokuwa wakubwa...
Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza, na Klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza, Dele Ali amefunguka kuhusu maisha ya majuto aliyopitia huko nyuma. Baadhi ya mambo aliyozungumzia ni juu ya Kiwango chake kushuka. Kulawitiwa akiwa na Miaka 6, Miaka 8 akaanza kuuza dawa za...
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically.
SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda...
Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016.
Mara baada ya hukumu kusomwa Jijini Paris, Lamjarred hakuonesha mwitikio wowote na muda mfupi baadaye akawekwa...
Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka.
Licha ya...
Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita.
Chanzo: EA Radio
====
Mchungaji Nurdin Mahakamani kwa kumbaka mtoto wake
Mchungaji wa kanisa la...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Dkt. Stragomena Tax, ameliambia Bunge kuwa kwa sasa utaratibu wa miaka 6 utabakia kama ulivyo kutokana na misingi iliyowekwa kwa ajili ya kuwaandaa Askari hao kulinda nchi.
Dkt. Stragomena amesema Askari wapya wanaojiunga na Jeshi wanabakia kuwa...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu Kumbuka Mhotelwa kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Tsh. Milioni Moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 6.
Mhotelwa mwenye umri wa miaka 30 na mkulima akiwa ni mkazi wa Kitwiru, Wilaya ya Iringa...
Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Akihojiwa na BBC leo kuhusu uwezekano wa Tanzania kuchukua fursa hii ya vita baina ya Russia na Ukraine kuuza gesi yake nje ya nchi Waziri wa Nishati Mhe. Makamba amesema uwezekano huo haupo labda baada ya miaka 6 kuanzia sasa ndiyo miundombinu wezeshi inaweza kukamilika na kuanza kazi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela.
Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.