Wasaalam mpendwa katika JMT 🇹🇿.
Huenda mimi na wewe hatukuwepo wakati Muungano wa 🇹🇿 ulipozaliwa, ila leo tumepata Neema ya kuwepo unapotimiza miaka 60. Tumeingia kwenye historia hii kubwa.
Nami nimefika mapema Sana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujumuika kuadhimisha, kusikiliza na kuelimika...