Moderator JF:
1. Tafadhali usiunganishe uzi huu na mwingine. Uchambuzi huu muktadha na maudhui yake ni tofauti kabisa na chambuzi za wengine waliokwisha kupost humu akiwemo Mama Amon...........
2. Uchambuzi huu unaofanywa na mwandishi nguli wa habari za kiuchunguzi anayeishi uhamishoni...
https://youtu.be/BKZ7ifz7408
1. Utangulizi
Akiwa katika Chuo cha Polisi Tanzania kilichooko mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, mnamo tarehe 17 Septemba 2024, Samia Suluhu Hassan, alivaa kofia zake zote kama Rais, Amiri Jeshi Mkuu, na Mkuu wa Nchi katika Jamhuri ya Muungano wa Kidemokrasia ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024...
https://www.youtube.com/watch?v=2hnFr5PaqRs
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.