miaka sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr pipa

    Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  2. JOHNGERVAS

    SoC04 Tanzania tuitakayo baada ya miaka sita kufikia 2030 ni kufuta mimba za utotoni na ndoa za utotoni

    TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
  3. ndege JOHN

    Albatros ndege anaye spend miaka sita ya mwanzo bila kutua chini.

    Albatrosi ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. spishi hizi za ndege wana mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubwa kabisa uliopimwa ulikuwa sm 370. Rangi zao zinatofautiana kutoka...
  4. G

    TUMEPIGWA? Hili ni treni la SGR nchini Kenya miaka sita iliyopita. Gari linaifukuzana nayo kwa speed ya 120 Km/Hour

    Ni miaka sita iliyopita
  5. Kilimbatz

    Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  6. BARD AI

    Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  7. D

    Kwa Miaka 6 hatukuona wala kusikia ugonjwa wa Kipindupindu, hii ni aibu kwa Taifa

    Hakuna neno zuri unaloweza kutumia zaidi ya aibu! Aibu! Aibu! tena aibu kubwa. Serikali kupitia Wizara ya afya imeutangazia Dunia hadharani kuwa ugonjwa wa kula kinyesi cha binadamu (kipindupindu) kimerejea nchini na tayari kuna wagonjwa 72 na 3 kati yao tayari wamekufa. Kwamba ugonjwa huo uko...
  8. L

    Kutuma salamu za pongezi kwa mkutano wa AU kwa miaka sita mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo, na pia ni mara yake ya kwanza kutuma baada ya kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya...
  9. BARD AI

    Chungu ya miaka 6 ya utawala wa Hayati Rais Magufuli

    Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka. Licha ya...
  10. H

    Mtoto wa miaka sita ampiga risasi mwalim wake

    Tukio hili limetokea huko USA ambako mtoto na mwalimu walishindwa kuelewana na ndipo dogo akamshona teacher risasi. Bwana mdogo ni mwanafunzi wa darasa la kwanza na hali ya teacher ambaye ana umri wa miaka 30 siyo nzuri yuko chini ya uangalizi wa madaktari. Shule husika imefungwa kwa muda...
  11. Mapand

    Katavi: Mtoto wa miaka sita ajinyonga akibembea kwenye mwembe

    Mtoto mwenye umri wa miaka sita(6) Tumain Emanuel mkazi wa kijiji cha Ndurumo wilayani mpanda mkoani katavi amekutwa amejinyonga kwenye mti wa mwembe. ======= Mtoto wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa...
  12. Christopher Wallace

    Kwanini Copa America ilifanyika mara nne ndani ya miaka sita kinyume na utaratibu?

    Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa. Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka...
  13. B

    Elimu ya Msingi kwa miaka sita: Je, tumejiuliza mambo haya?

    Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kuniwezesha kupata elimu bora kabla siasa za nchi yetu hazijashika hatamu katika ELIMU. Tunaposema tunataka elimu ya MSINGI iwe miaka sita, kusiwe na mtihani darasa la sita, wanafunzi wote wanaomaliza darasa la sita waende sekondari. je tumejiuliza mambo...
  14. BARD AI

    Serikali haitabadili miaka ya Wanajeshi kuoa na kuolewa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Dkt. Stragomena Tax, ameliambia Bunge kuwa kwa sasa utaratibu wa miaka 6 utabakia kama ulivyo kutokana na misingi iliyowekwa kwa ajili ya kuwaandaa Askari hao kulinda nchi. Dkt. Stragomena amesema Askari wapya wanaojiunga na Jeshi wanabakia kuwa...
Back
Top Bottom