Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bara, Stephen Wasira, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuhusu hoja ya umri wake, akisisitiza kuwa uwezo wa mtu hautokani na miaka aliyoishi bali akili alizonazo.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Geita leo Januari 29, 2025...