miamala ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mc Kaskas

    NAUZA LINE ZA UWAKALA WA MIAMALA YA FEDHA

    Wahi offer Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili Imebaki Halo pesa na Airtel money, Zote nataka 90K Karibu Dm
  2. fundi radio

    SoC04 Serikali ifuatilie miamala ya kifedha kwenye taasisi za kidini zilizopo Tanzania

    Kumekuwepo Kwa taasisi nyingi za kidini zinazo Jenga majengo ya kuubadu na kufanya shughuli zao Bila serikali kujua upatikanaji wake na matumizi ya pesa za hayo mashirika ya kidini. Kuna baadhi ya viongozi wa hizo taasisi wanaoneka wakiwatupia wananchi pesa, (kutoa / kumpa MTU pesa Sio kitu...
  3. Papaa Mobimba

    Mwanasheria: Kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo ni kosa kisheria

    Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki...
  4. benzemah

    Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania laipongeza Serikali kwa kuondoa tozo ya kutuma miamala ya fedha kidijitali

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na hatua za kundoa tozo kwenye huduma ya kutuma miamala ya fedha kidijitali. Kuondolewa kwa too hil...
  5. R

    Kwanini mtu alipie makato ya kuhamisha fedha wakati muamala umefeli?

    Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi! Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
  6. R

    Hizi ndiyo Tozo mpya za miamala ya Simu na Benki kuanzia leo Ockoba 1, 2022

    Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, kupitia gazeti la Serikali la Septemba 30 ambalo Mwananchi...
  7. Nyendo

    Naibu Spika afafanua kuhusu Benki na Kampuni za Simu hukata pesa nyingi kuliko Serikali

    Amesema aligundua kuwa anapofanya miamala Serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu. Ametaka Serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata kiko sahihi au kunahitajika mabadiliko. Pia soma:Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu...
Back
Top Bottom