Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linafanya uchunguzi wa tukio la kujinyonga kwa mtuhumiwa aitwaye Michael Lambau (18), mkazi wa mtaa wa Karikacha, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi akiwa mahabusu katika kituo cha Polisi Moshi Kati akishikiliwa kwa kosa la Shambulio la kudhuru mwili.
Mtuhumiwa...