Dkt. Michael Usi ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Malawi katika hafla iliyofanyika katika Bunge la nchi hiyo mjini Lilongwe. Mchekeshaji huyo aliyebadilika kuwa mwanasiasa anachukua nafasi ya Saulos Chilima, ambaye alifariki katika ajali ya ndege mapema mwezi huu.
Dkt. Usi ameahidi kuheshimu...