Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.
Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs
Ila mwajiri hataki kuingiza pesa NSSF?
Hivi inawezekanaje muajiri amekwisha peleka mishango NSSF alafu ukienda kuangalia salio ukakuta kuna michango kadhaa imechomolewa wakati kabla ilikua inasoma. Hii kitu imewatokea wanachama kadhaa, naomba ufafanuzi Kwa mwenye ufahamu.