michango shule za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Michango ya ovyo ovyo shuleni ambayo haina maelezo ikome

    Wakuu, Zile mia mia na hela za michango ya mitihani na nyingine ambazo hazina maelezo yanayoeleweka toka kwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi mjue ni usumbufu kwa wazazi. Hapo mzazi akigoma kulipa mwanafunzi anachapwa au anaambiwa asiende shuleni, haya matamko ya kisiasa yanaharibu sana elimu...
  2. Nyendo

    Dorothy Semu: Sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu. Haitekelezeki kwa ufanisi kiasi cha kurejesha tena michango lukuki kwa wazazi. “Wazazi wanachangishwa fedha kwa ajili ya mitihani, vitabu, chakula, walinzi, ukamilishaji wa...
Back
Top Bottom