1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.
2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango bila utaratibu.
3. Posho ya Mwalimu mkuu imekuwa kama fimbo ya kuwachapia hao walimu wakuu na...
Leo nimesikia kwa masikio yangu mwenyewe kiongozi mmoja wa CCM akimkoromea mtendaji wa Kata kwanini hakusanyi michango ya mwenge. Hili jambo limemisikitisha sana kwa kweli. Unajua tangu zamani nilikuwa nasikia walimu wakilalamika kukatwa mishahara kuchangia mafuta ya mwenge nikadhanini...
Hili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo.
1. Watendaji kata 30,000/=
2. Waratibu Elimu 30,000/=
3.Watendaji wa mitaa 15,000/=
Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.