michango ya mwenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Mwenge umekuwa mwiba mkali kwa Walimu Wakuu Halmashauri ya Momba. Wanalazimishwa kutoa mchango kwa vitisho

    1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile. 2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango bila utaratibu. 3. Posho ya Mwalimu mkuu imekuwa kama fimbo ya kuwachapia hao walimu wakuu na...
  2. Michango ya mwenge ni sawa na kutakatisha fedha

    Leo nimesikia kwa masikio yangu mwenyewe kiongozi mmoja wa CCM akimkoromea mtendaji wa Kata kwanini hakusanyi michango ya mwenge. Hili jambo limemisikitisha sana kwa kweli. Unajua tangu zamani nilikuwa nasikia walimu wakilalamika kukatwa mishahara kuchangia mafuta ya mwenge nikadhanini...
  3. Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

    Hili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo. 1. Watendaji kata 30,000/= 2. Waratibu Elimu 30,000/= 3.Watendaji wa mitaa 15,000/= Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…