michango ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usipokuwa makini utajikuta unachangia harusi 5 hadi 6 kwa mwezi

    Hii app ya Whatsapp sioni faida yake kabisaaa imegeuka kausha damu kwangu, imagine nina group tano za michango ya harusi na zote zinadai 50K kwenda juu. Na bado sijui kama kutakucha bila kuongezwa kwenye group jingine. Yaani kila siku unaungwa kwenye magroup mpya za harusi, watu hata huwajui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…