michango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamguri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  2. Serikali ya DRC, kuomba michango ya kusaidia jeshi lake.

    Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
  3. Mashabiki wa Simba wahoji kuhusu michango ya faini ya CAF kama ililipwa kweli

    Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
  4. W

    Marekani kasimamisha michango mashirika ya afya kwanini nchi nyingi zinalaumu, kwanini nchi nyingi zinazonufaika na misaada zinakwepa michango ?

    Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani. mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia Dola milioni 20 (shilingi bilioni 50) . Marekani baada ya kuona pesa zao zinafujwa, Trump kaamua...
  5. DC Meatu: TAKUKURU inachunguza tuhuma za Watumishi waliochukua fedha za michango ya Wananchi kujenga Shule

    Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi. Kusoma zaidi hoja hiyo...
  6. L

    Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
  7. A

    DOKEZO Changamoto ya usimamizi wa michango ya fedha za wanachuo, Chuo cha Mifugo Kikulula

    Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa. Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa akila hela za michango, hivyo kuleta usumbufu kwa wahitaji wanapotaka kupatiwa huduma za afya Vile...
  8. TAKUKURU yaipa Mt. Meru Hospital michango yenye thamani ya Tsh. Milioni 15

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania TAKUKURU kwa lengo la kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya Wakati. Akikabidhi...
  9. Tuliofanikiwa kwa michongo hatari baada ya kuona hakuna njia ya kutoboa

    Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa...
  10. M

    DOKEZO Michango imekuwa mingi Shule ya Msingi Njelela iliyopo Ludewa - Njombe, Mzazi ambaye hatatoa anakamatwa

    Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Njelela iliyopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe wamekuwa wakilalamikia michango inayochangishwa shuleni hapo kuwa imekuwa ni kero kutokana na uongozi wa shule kutoa maelekezo kila mara. Mfano, Wanafunzi shuleni hapo wanatakiwa kulipa...
  11. LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
  12. Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  13. Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

    Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
  14. Hii michango inayochangishwa na watu binafsi kwa ajili ya janga la Karikoo ifuatiliwe

    Kiukweli nimejaribu kutafakari ili kujiridhisha kuhusu michango inayochangishwa na baadhi ya watu maarufu kuhusu janga la Kariakoo ila naona ni kama utapeli. Ikumbukwe kwa ishu ya Kariakoo tayari serikali iko pale na kusimamia kila kitu kwa 100% huku taasisi kubwa nyeti nchini zikiwa kwa karibu...
  15. Kwanini tuangaishane na michango ya harusi na tujitaabishe kwa kukusanya pesa za michango. Mbona shughuli ndogo kwa pesa yako mfukoni inawezekana

    Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo? Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
  16. Asanteni wana jamii forums wote kwa michango yenu ya kimawazo

    Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June. Hata pale nitakapo jiona mpweke ninaweza kuingia ktk jukwaa hili na kujihisi nimezungukwa na marafiki...
  17. Michango ya harusi imekua kero kwangu, mbona mimi sikuchangisha mtu ata senti moja

    Habari za kuchakarika wakuu, Aisee hapa navyoandika nimeungwa kwenye magroup matatu ya harusi zinazokuja mwisho wa mwaka huu, 1 ni binti ndugu wa ukoo sio immediate family link kwa mababu huko, mmoja ni jamaa nilitinga nae job kabla sijahamia nilipo, mwingine jamaa tumesoma wote high school...
  18. Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

    Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi. Nay
  19. ILE MICHANGO YA JOIN.....THE CHAIN IKO WAPI..??NDIOS MJIUZULU(CHADEMA)

    Naona maoicha picha yanaendelea Wale.waliokuwa wanangalia star TV juzi walimhoji Tondu Lissu Moja ya maswali alibanwa michango ya join the chain iko sh ngapi Akaruka akasema hii anawezajibu katibu na mweka hazina hawa ndio wahusika wakuu Leo naona anajiuzulu Asemeeee wazi michango I.efika...
  20. A

    KERO Kuna wimbi la michango Shuleni hasa Shule za Msingi

    Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango 1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/= 2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka 3. Hela ya jiko Tsh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…