NGARA: MICHE YA KAHAWA YAGAWIWA KWA WANANCHI WILAYANI - NGARA
Mhe. Ndasaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara amefika kwenye vitalu vya Kahawa na kushuhudia ugawaji wa Miche hiyo katika Vitalu vinavyopatikana katika Jimbo la Ngara ikiwa ni pamoja na kitalu cha Kata ya Nyakisasa kilichopo...