miche ya matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shitukeni SUA hawauzi miche ya matunda ni wahuni wanatumia jina la SUA

    Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea. Sasa wengi hawajui...
  2. Msimu Wa Kupanda Miche Ya Matunda Umefika Sasa.

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  3. Umuhimu wa kupogolea miche ya matunda

    Kwa nini ni muhimu kupogolea miti ya matunda: 1. Kuboresha ukuaji na uzalishaji: Kupogolea huwezesha mti kuelekeza nishati yake kwenye sehemu zenye afya na kuimarisha ukuaji wa matawi na matunda bora zaidi. Husaidia mti kuzalisha matunda mengi na yenye ubora kwa kuruhusu mwanga na hewa kupenya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…