Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio shingoni.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 28, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Brasius...