michepuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  2. Hivi nyie michepuko mnajiona nyie nani?

    Yaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi. Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na hana chakumfanya hata iweje, na kamwambia either uiche ndoa yako mwenyewe au nikuue jamani. Hivi...
  3. Mke halali wa Akon vs michepuko yake

    Huyu ndiye mke wa ndoa wa Akon aliezaa nae watoto watano. Walifahamiana tangu wakiwa na miaka 20. Watoto wengine wanne amezaa nje ya ndoa Hawa ni baadhi ya michepuko wa Akon
  4. Kama kuoa ni raha basi tusiwaone na michepuko sehemu za starehe na kwenye Magest

    Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko. Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa. Sauti iwafikie popote...
  5. Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  6. Michepuko wako unawapataga wapi?

    Kuna story nyingi sana kwenye mahusiano, mtu akishaishi kidogo tu na mpenzi wake basi kashamchoka anataka kumtema na kupata mwingine. Wengine wanachokana baada ya siku, wiki, miezi, miaka nk na kuanza harakati za kupata mchepuko mpya, Wengi wana uhakika wa michepuko ndo mana kupigana chini...
  7. Hivi kwa nini kumchampia mtu inaenda na kuvimba sana na tantalila za shobo nyingi sana?

    Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo tunavimba sana na tantalila nyingi sana kwenda kwa wenyewe, hivi hapo uvimbaji unajengwa na kipi cha...
  8. W

    Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  9. Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

    Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen. Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest...
  10. Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

    Waungwana na wasio waungwana nawasalimu. Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana... Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo. Ni tukio kubwa kiasi kwamba hata sisi tusio ndugu tumeshiriki. Nimeumia kuona katoto ka nje ambako kwa makadirio...
  11. Michepuko iheshimiwe

    Wasalaam wana JF, Hakika kuchepuka ni kukosa maadili, ni kinyume na mpango wa Mungu. Mtu anapaswa kukaa njia kuu, kukaa na familia moja kama mkristu na zisizozidi nne kama Muislam. Lakini, kuna wakati tunajikwaa na kuchepuka au tuna lazimika kuchepuka kutokana na mikingamo ya ndani. Sasa...
  12. Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  13. Ndiyo maana michepuko haiishi kwa hali hii

    Unakuta wanandoa hawana hata watoto wameoana majuzi tu, kidogo mwanamke anaanza purukushani. Kosa ni kidogo analivuta maana anajua kaolewa. Basi anaanza masifa na ugomvi usio wamaana. Halafu mumewe ukute anawafukuziaji tosha, mmoja anapendeza balaa. Unafikiri hatochanganyikiwa, anaenda moja ya...
  14. Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
  15. M

    Natamani makarani wa sensa wangetuuliza pia idadi ya michepuko tuliyonayo na idadi ya watoto wa nje

    Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini? Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka. Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
  16. Ni wakati sasa wa kuwa na michepuko ya kimataifa

    Wasalaam wana JF Kama mnakumbuka niliwahi ongelea tabia mbaya za dada zetu wa Tanzania katika uzi wangu hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/80-ya-wanawake-tanzania-ni-omba-omba.1965395/#post-41971061 Sasa basi nimeamua, bila kushurutishwa kufanya usajili wa mipango ya kando kutoka...
  17. Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela. Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can https://jamii.app/JFUserGuide any woman around you” maana...
  18. Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

    Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama. Wakati napewa hizi...
  19. Wakuu acheni michepuko

    Mwanaume sikia hii uwe mume bora Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee Mithali 31 :3 Usiwape wanawake nguvu zako : Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu...
  20. Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

    Umalaya ndani ya ndoa si kitu cha kujivunia na cha kusema sawa mwache afanye. Naona wadau wengi wanaona ni sawa kwa mtu aliyeamua kwa ridhaa yake mwenye kuoa kua malaya na kufanya dhambi ya usaliti. Utasikia mwanaume hachunguzi. Je, yeye yuko huru kufanya usaliti au uzinzi nje ya ndoa? Umalaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…