michepuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  2. Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina

    “Nimeambiwa Shule hii ni ya mchepuo wa Kingereza. Sasa nina pendekezo. Unajua unapobadilisha mitaala ya elimu, Waziri wa Elimu yuko hapa. Tumebadilisha mitaala ya elimu na sera yetu ya elimu kuendana na mabadiliko ya Dunia yanavyokwenda. "Shule hii ni mchepuo wa Watoto ambao watafundishwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…