Hizi ni timu pendwa sana kwa watanzania wa rika zote, dini zote na vyama vyote vya siasa. Kwa ushauri wangu msijifungamanishe na vyama siasa na wanasiasa, msijinasibu na dini yeyote kama mnavyofanya sasa. Huo ni ushauri wangu wa kiutu uzima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.