michezo tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna upigaji wa fedha wa kutisha miradi ya Viwanja vya michezo Tanzania.

    Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za Kitanzania. Huko Arusha Serikali ya CCM wanajenga uwanja wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu...
  2. Wazazi wafahamu kuwa wanariadha matajiri kama kina Simbu walianzia chini kwa uangalizi wa wazazi/walezi

    Mimi nikiwa mdau mkubwa wa riadha nimeona niandike huu uzi kupinga comments za kisiasa zinazotolewa na watu mbalimbali kuhusu wanariadha wa Tanzania walioshiriki Olympic Marathon 2024 za Paris. Comments nyingi ni za kisiasa kutoka kwa watu hata wasiojua utaratibu wa mtu kushirikishi mashindano...
  3. N

    Waziri wa Michezo tunaomba Uwajibike kwa aibu hii iliyotokea kwa wachezaji wetu katika mashindano ya Olimpiki

    Tukiwa taifa mwenyeji wa mashindano yajayo ya AFCON nilitegemea maandalizi makubwa sana katika mashindano haya ya Olimpic niliona kwenye vyombo vya habari kwamba Waziri wetu wa michezo aliambatana na washiriki saba kutoka Tanzania kwenda huko ufaransa. Mpaka sasa hali sio nzuri, matokeo ni...
  4. Azam TV wana shida gani? Channel zote za sports hazioneshi

    Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
  5. Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

    Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025. Wadau wa Soka hapo vipi? ==== Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
  6. Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  7. Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata

    Amayesema hayo wakati Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 === Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoa msamaha kwenye uingizaji wa mashine za ‘’VAR’’ na vifaa vyake kwa ufafanuzi utakaotolewa hapo baadaye akisema uamuzi huo...
  8. Waziri Mwigulu apendekeza msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR

    Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu. Waziri Nchemba amesema, Tanzania inafanya vizuri kwenye michezo ndio maana imepewa fursa ya kuhost AFCON 2027. Kwa...
  9. D

    SoC04 Maendeleo katika Sekta ya Michezo Tanzania ndani ya miaka 15-20 ijayo

    Awali ya yote nipende kutoa pongezi kwa timu mbalimbali za michezo pamoja na wawekezaji wake hapa Tanzania( Simba na Yanga) zimejitaidi kadri ziwezavyo kulitangaza soccer la Tanzania kwa kila namna ziwezavyo na zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa saana, japokua timu hizo zinafanikiwa kutokana na...
  10. Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
  11. Azam yathibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili vikimuhitaji Dube, Simba sc ikiwemo

    Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe. Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan. Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa. Aidha, Azam FC...
  12. Dube aaga rasmi Azam FC

    Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ila taratibu zifuatwe. Mchezaji huyu...
  13. Prince Dube arudisha kila kitu Azam FC, inasemekana anaenda kutafuta maisha mpya Kariakoo

    Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini. Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa. Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'. == Pia soma: Klabu ya...
  14. Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

    [emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES [emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji huyo huku Prince Dube akiwa tayari kulipa kiasi cha USD 230,000 sawa na Tsh 586M ili aweze kuondoka kwa...
  15. K

    Sababu ya Dube kuomba kuondoka Azam

    Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka...
  16. Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

    Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020. Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha...
  17. C

    Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini Cha...
  18. Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  19. SoC03 Mpango wa kuandaa vijana wenye ubora na uwezo wa kusaidia kuleta maendeleo katika kiwango cha timu ya taifa ya Tanzania katika mpira wa miguu

    1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA. Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
  20. Yanga wakipata Philip Kizumbi na Kipre Junior watakuwa wamefaidika sana

    Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass. Moloko ni mzuri some time kwa kutoa pass na speed lakini hajui ku dribble, na ni lazima winga awe mzuri pia kwa ku dribble kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…