Salamu Wakuu.
Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni Mtangazaji mwanzo mpaka mwisho hakuna anachotangaza chochote kipindi kimepewa Jina jingine ila...
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.
Shalom Shalom vijana kwa wazee, mabibi na mabwana. Amani iwe nanyi.
Nina swali fupi ila muhimu ningependa kupata mwongozo wa kisheria kwa wale wenye ufahamu wa jambo hili.
Chukulia umeshinda katika Jackpot katika Betting, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiusalama, ulinzi na ustawi wa...
Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi!
Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kuacha.
Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli! Nimetumia kila mbinu, kila hesabu ninazozijua lakini kipigo kiko palepale.
Pia niwape pole wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.