Nayee?
Miaka mingi iliyopita, miaka ya tisini kuja elfu mbili. Kuna watu wanajiuliza tisini juzi tu!? Leo ni miaka 30 iliyopita, vijana waliobahatika kwenda shule walipata ajira serikalini kwenye taasisi mbalimbali. Waliobaki wakiendelea na kilimo, ufugaji na shughuli zingine za kujiongezea...