Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani kushirikisha timu za ligi kuu za bara na visiwani ambapo tumeshuhudia wachezaji kadhaa wamekula mashavu kuja...
Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti.
Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za kutaka Lissu awe mwenyekiti.
Tupiganie midahalo na kuelimishana sio kuzuia midahalo. Elimu ipatikane...
Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo.
Ntonda alikuwa ameambatana na...
Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036.
Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics.
Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano...
Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira.
Mhe...
Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne.
Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa.
Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL,
Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi,
Wana akili ya mpira na wanafanya...
Kuna baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanasema Jana yanga kacheza kawaida sana lakini awajui gamond alikuwa na mbinu Gani kwenye Ile mchezo, zifuatazo ni mbinu za gamond na sababu ya kucheza kwa akili kubwa;
1) Gamond aliitaji kumsoma mpinzani wake kwakuwa alikuwa ajawaona Simba na wachezaji...
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP).
Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars) na Mohamed Mustafa kutoka Azam Fc.
Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya...
AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.
Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?
Au Euro ishaisha??
Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026.
Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano wa ratiba na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, linalotarajiwa kuanza Juni 15 hadi Julai 13, 2025...
Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo.
Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja
Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar
Sisi wapenda...
kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA
Al ahly kutoka nchini Misri
Wydad kutoka nchi ya Morocco
Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa
Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia
NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.
SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.
SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?
Je, nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.