Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumuingiza winga wake mpya, Elie Mpanzu, kwenye mfumo wa usajili wa CAF, hatua inayomruhusu kuichezea timu hiyo katika mechi za Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup).
Kwa mujibu wa taarifa, Simba SC imepata leseni ya Mpanzu baada ya kumjumuisha kwenye usajili...
Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza.
Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
Idadi ya timu sita zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika yatakayoanza mwishoni mwa wiki hii zitatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani.
Sababu tofauti zimechangia kuzifanya timu hizo kuchagua uwanja huo unaomilikiwa na Azam FC ambazo ni usalama duni katika baadhi ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.