Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036.
Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics.
Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano...
Nimekutana na picha hii mtandaoni inayodaiwa kupigwa Julai 30, 2024 kwenye michuano ya Olympics inayoendelea. Binafsi siamini, naona kama imetengenezwa.
JamiiCheck tusaidieni kuihakiki.
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani wizara ya michezo naambiwa imepeleka wanamichezo 7 kwenye michezo ya Olympic ufaransa ambao nao hawana uhakika wa medali kutokana na mazingira duni ya namna wanavyoandaliwa.
Badala waziri aumize kichwa na kuangalia ni namna gani atapeleka wachezaji wa...
Kenya wanapeleka wachezaji 79 kwenye Olympic mwaka huu, na Olympic ndio imekuwa inaitangaza sana Kenya Kimataifa.
Timu ya Olyimpic ya Kenya ikiwa Ikulu sijaona Wamevaa ujinga ujinga sijui picha za Ruto ujinga, Ingekuwa ni Tanzania ya wajinga hio timu yote ingevalishwa tshirt zenye picha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.