michuano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Tip of the weekend michuano ya CAF

    1.YANGA VS MCA yanga win 2.SIMBA VS CONSTANTINE Constantine double chance Ni siku nyingine ya kupiga hela za bure , best wishes
  2. Je, michuano ya Mapinduzi kushirikisha timu za Taifa yameleta tija?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani kushirikisha timu za ligi kuu za bara na visiwani ambapo tumeshuhudia wachezaji kadhaa wamekula mashavu kuja...
  3. Tenzi za Rohoni;Cha Kutumaini Sina, unawafaa Yanga michuano ya CAF

    Aliyetunga wimbo huu ni kama aliwatungia Yanga kwenye michuani ya kimataifa? Wimbo sahihi kwa wakati sahihi
  4. K

    Naona kuna wimbi la wasusiaji wa CHADEMA hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti

    Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti. Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za kutaka Lissu awe mwenyekiti. Tupiganie midahalo na kuelimishana sio kuzuia midahalo. Elimu ipatikane...
  5. Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  6. Afrika Kusini yaomba kuwa mwenyeji wa michuano ya Olympics mwaka 2036

    Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036. Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics. Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano...
  7. Mwana FA: Serikali Itasaidia Kutafuta Wadhamini Michuano ya Bahati Ndingo CUP

    Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira. Mhe...
  8. Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  9. Rekodi za Makocha wa Manchester United kwenye michuano ya Ulaya tangu Fergie alipostaafu

    1. Michael Carrick Matches – 1, Wins – 1, Draw – 0, Loses – 0, Win % - 100 2. Jose Mourinho Matches – 29, Wins – 18, Draws – 6, Losses 10, Win % - 62 3. Ole Gunnar Solskjaer Matches – 35, Wins – 19, Draws – 6, Losses – 10, Win % - 54 4. David Moyes Matches – 10, Wins – 5, Draws – 3...
  10. Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

    Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL, Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi, Wana akili ya mpira na wanafanya...
  11. Yanga ni timu iliyoimarika sana kimbinu na kiufundi, michuano mikubwa na uzoefu vimewasaidia sana

    Kuna baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanasema Jana yanga kacheza kawaida sana lakini awajui gamond alikuwa na mbinu Gani kwenye Ile mchezo, zifuatazo ni mbinu za gamond na sababu ya kucheza kwa akili kubwa; 1) Gamond aliitaji kumsoma mpinzani wake kwakuwa alikuwa ajawaona Simba na wachezaji...
  12. Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA 2023/2024

    Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP). Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars) na Mohamed Mustafa kutoka Azam Fc. Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya...
  13. AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini? Au Euro ishaisha?? Anyway, imebidi nilipie DStv tu
  14. Michuano ya AFCON ya 2025 imesogezwa mbele mpaka Januari 2026

    Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026. Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano wa ratiba na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, linalotarajiwa kuanza Juni 15 hadi Julai 13, 2025...
  15. Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  16. Napinga fainali ya FA kufanyika Zanzibar, Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine wala haina timu kwenye michuano hiyo

    Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar Sisi wapenda...
  17. Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  18. Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  19. Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

    #Tuko Pamoja na Nyinyi Mpaka FIFA
  20. G

    Simba yapanda kuwa klabu ya tano kwa ubora Africa michuano ya Caf,

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…