michuano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
  2. Je, VAR kwenye michuano ya AFCON imeongeza au imepunguza ladha?

    Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
  3. Kuna timu ambayo inaenda kudhalilishwa kwenye hii michuano kwa mara ya kwanza toka ianze!

    Nishasema Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega!. Kiukweli ndugu zangu tangu mods wanaiondoe kwenye jukwaa la michezo toka Simba alipokula kipigo cha Goli 5 - 1 Kutoka kwa hasimu wake Young Africans,Mods walinifungia kwenye jukwaa la...
  4. Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

    Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
  5. DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo. Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
  6. Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  7. S

    Kundi la Yanga ndio litatoa bingwa wa hii michuano

    Huu ndio ukweli na ndio maana mpaka leo timu namba moja kwa ubora bado haina uhakika wa kutinga robo fainali(mpaka sasa inahaha kuingia robo fainali). Labda Mamelodi ndio anaweza kuleta ushindani.
  8. Yanga SC na Michuano ya CAFCL

    Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla. Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo. 🙌 Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu 🙌Yanga...
  9. O

    Edo Kumwembe: Simba ile ile, wachezaji wale wale, michuano ndio tofauti

    KAMA bao la penalti laini ya Saido Ntibazonkiza dhidi ya Asec Mimosas lingesimama kwa dakika zote tisini si ajabu mashabiki na viongozi wa Simba wangerudi katika dunia yao ya njozi kwamba bado wana timu bora kwa ukanda huu wa Afrika mashariki. Si ajabu pia wangeendelea kuota ile njozi maarufu...
  10. FIFA yaishika pabaya Simba, ratiba ngumu kwa mpambano wao na Al Alhy

    WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na ratiba ya mechi za timu za taifa ilivyo. Hivi sasa ligi nyingi...
  11. Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

    Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
  12. Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

    Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha. Sasa wewe Uto endelea kubisha na kuita sijui Abiola Cup. Kwanza unaweza kushitakiwa kwa uhainin Kwa kuonekana...
  13. Tanzania yaichapa Libya 9-3, Yatwaa Medali za Shaba (Bronze) kwenye Michuano ya Soka la Ufukweni

    Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3. Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia kwenye Matuta ambapo Morocco imeibuka na ushindi wa Magoli 4-3. Mgawanyo wa Zawadi umekuwa kama...
  14. Pengine leo tutashuhudia fainali mbovu ya UCL kuliko zote katika historia ya michuano hiyo

    Usiku wa leo ni fainali ya uefa champions league kati ya manchester city dhidi ya inter milan kuanzia milango ya saa 4:00 usiku Ninapata mashaka pengine leo tunaweza kushuhudia fainali mbovu zaidi katika historia kwasababu mbalimbali. Mosi, man city wapo katika fomu ya hatari sana anatoa dozi...
  15. Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyowahi kufanya "come back" ya kibabe katika mashindano ya CAF

    Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0 Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
  16. M

    Caf Confederation cup ni michuano ya wachovu: Ushahidi ni timu iliyotolewa mapema champions league huko inafika fainali!

    Caf confederation cup ni michuano ya wachovu!! Hata timu iliyotolewa mapema tu uko caf champions league, lakini akirudi kwa wachovu anafika fainali!!
  17. George Job aliwahi kusema hatuna timu ya kufika Fainali ya Michuano ya CAF

    Njooni mumpike kama sio kumkaanga
  18. Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

    Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF. Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani? Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
  19. Rivers United Wameshinda mechi 12 kati ya 14 walizocheza nyumbani katika michuano ya CAF

    Baada ya anguko la klabu za Enyimba, Enugu Rangers na Heartland klabu bora za Nigeria, Ndipo zilipoibuka klabu za Kano Pillars, Plateau United na Rivers United. Ni timu za kiazi kipya kwenye mafanikio. Ushiriki wao kwenye CAF umeanza hivi karibuni mwaka 2017, Hizi rekodi zao wakiwa nyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…