Kiungo huyo wa Chelsea na Ufaransa amefanyiwa upasuaji kutoka na majeraha ya nyama za paja ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne.
Kante, 31, alipata majeraha hayo wakati katika mechi ya sare 2-2 dhidi ya Tottenham, Agosti 14, 2022 na tangu hapo hajawa fiti kurejea uwanjani...