michuano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Michuano ya Golf ya Mount Kilimanjaro Klassic iliyokuwa ifanyike Arusha IMEFUTWA, washiriki wamelipwa fidia, sababu hazijulikani

    Michuano ya Mchezo wa Gofu ya Kilimanjaro Golf Tourney ‘Mount Kilimanjaro Klassic’ ambayo imepangwa kufanyika Arusha, wiki ijayo, imefutwa na wachezaji husika ambao walikuwa katika maandalizi ya mwisho kwa ajili ya kushiriki wamejulishwa. Michuano hiyo ilikuwa itumike kama sehemu ya kutangaza...
  2. FIFA, UEFA washirikiana kuifungia Urusi michuano yote, klabu na timu za taifa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine. Mamlaka hizo za soka zote zimetoa tamko la pamoja...
  3. Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani! Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
  4. James Ole Milya awa kivutio michuano ya wabunge inayoendelea jijini Arusha

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Ole Milya alionekana muda mwingi akiwa amevaa bendera ya Tanzania huku akiwa ameshika vuvuzela...
  5. Twiga Stars yaibuka bingwa kwenye michuano ya Cosafa kwa kuifunga Malawi 1-0

    Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake imeibuka Mabingwa wa COSAFA kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika michuano ya COSAFA ya wanawake iliyokuwa inaendelea Afrika Kusini, goli la Tanzania lilifungwa na Enekia dakika ya 64. Mechi hiyo ilipigqwa katika dimba la Nelson Mandela huko...
  6. Michuano ya Olimpiki inafika kikomo huku Kenya ikiongoza Afrika kwa idadi ya medali

    Hongerei sana mashujaa wetu wa kutuwakilisha vyema bara hili. ======== Kenya featured prominently Sunday as curtains were drawn on the 32nd Olympic Games, with Tokyo organisers overcoming huge challenges, most significantly rising coronavirus cases and growing opposition to the staging of the...
  7. Makocha waliomlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye michuano ya Olimpiki watimuliwa

    Makocha wawili wa Belarus wameondolewa Vibali vya Olimpiki kufuatia madai ya kujaribu kumlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye Michuano inayoendelea Tokyo Nchini Japan Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) imethibitisha kuondoka kwa Artur Shimak na Yury Maisevich, na Uchunguzi unaendelea Kesi...
  8. S

    Shaka ashauri Ndondo Cup iwe michuano ya Kitaifa

    Na Mwandishi Wetu, Mikocheni-Dar es Salaam. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka usiku wa tarehe 01/07/2021 ameungana na watanzania wengi ambao ni wana michezo katika hafla fupi ya uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu maarufu kama NDONDO CUP hatua ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…