Mikutano ya Makatibu Wakuu wanakimbia ila hii ya roporopo anayoenda kuchamba chama chake cha zamani ahhhh, sababu inawachafua wengine na kuwapaisha wao.
Ngoje tuona Msigwa atakuja na jipya gani leo.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.