Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania??
Nimeuliza hivyo kwa maana Masaki na Oyster Bay ndio wanapokaa Think Tanks za nchi na sijasema kwa lengo la kuwakejeli au kutengezea...
Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews).
Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews??..
~ SIPENDI SIASA ~
Hili swali huwa najiuliza sana.
Mara zote ambapo vita ya dunia ilitokea, sababu kubwa unakuta ni maslahi ya mataifa makubwa. Mataifa ambayo yanapishana “ideology”
Mfano mataifa ya mashariki na magharibi. Na inakuwa vita ya dunia kwasababu utakuta kila nchi ina upande iliyochaguwa hata kama...
Kutokana na hali halisi uko mashariki ya kati, Palestine, Israel, iran, Lebanon n.k.
Ukitamani kua mwanajeshi uko unaonekana mzalendo na milango ipo wazi kutokana na huwalisia wa kuepo na matukio kila kukicha, unapokelewa kama mfalme ukitaka kujiunga na majeshi uko kama raia wa taifa lao...
Wagalatia 3:28 ,29
Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
Ni hayo tu. Mfano mimi sio mmatumbi kimsingi ni...
Nchi ndogo yenye ukubwa wa 21, 600+ sq.k lakini inapambana na manchi makubwa na sio moja. Kwa sasa Israel inachapa Palestine, Iran, Lebanon, kambi za kijeshi zilizopo Syria na Iraq.
Huu ni uwezo usio wa kawaida na hii inaonesha kila hatua Israel inavyopambana na adui zake ni kwa msaada wa...
Magharibi wako mbali sana kimahesabu.
Westerners ni nyoko. Naona mahesabu yao ni Far East akiwemo Putin, Jon Jun, na wapuuzi wengine wasiojali haki za binadamu.
Saudia Yeye hana cha kusema, UAE ni centre ya Uchumi kwa Westerners so hapo ni kama Nyumbani tu. Hawapagusi.
Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa.
Kwahiyo hata wale waunga mkono wa JF (ugaidi wa keyboard) Tunaomba waanze kushughulikwa na MODS sababu wamekuwa wanaongoza kutuma...
zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani.
Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east kuwaua waisrael au watu flani asiowapenda
Je, Teknolojia ya kuwagundua imekua?
Je wamegundua ni...
Rais Vladimir Putin amesema njia sahihi ya kupata amani mashariki ya kati ni kuanzisha vita kamili kauli imekuja baada Israel Jana kutuma barua ya kuomba mazungumzo na Iran pamoja na Lebanon na huo ujanja wa kukwepa vita kamili dhidi yake...
JUST IN: 🇷🇺 Russia says a full-scale war is the only...
Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara mengine hapa duniani,na kwasababu hizi imetengenezwa mfumo wa dini ili kuzitawala akili mbovu za hawa...
Wakuu, long live to you all.
Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.
Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto...
Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa kuwadhoofisha kwani ndiyo nchi pekee zinazomiliki nishati ya mafuta kwa wingi/utajiri hivyo...
Hamas mwezi october 7 walifanya unexpected attack ambayo iliwaduwaza watu kwa kiasi kikubwa na watu wengi afrika na akili zao mbovu wanachukulia vita hii ni ya kiimani sizani kama itakuwa ni sahihi kuivaa vita kwa njia ya dini,wakati middle east machafuko yake yameanza kipindi cha YAKOBO na...
Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East
Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East
Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer...
FORCE OF IRON
Major General Tomer Bar made the chilling warning in an TV address today
Pichani :Meja Generali Tomer Bar ametoa Onyo kwenye Televisheni leo
Israel vows they are ready to bomb across ‘entire Middle East’ in major warning to Iran and Hezbollah
Israel wanajivunia kuwa wapo Tayari...
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.
Jambo...
U.S. House Approves Resolution on Iran: "All means necessary" will be used to prevent Nuclear Armed Iran
02 NOVEMBER 2023
The U.S. House of Representatives passed a Resolution late last night to use all means necessary to prevent Iran from obtaining a nuclear weapon. Now we know why the...
Kambi za Marekani huko Syria na Iraq zimeanza kuchomwa kwa kasi huko Mashariki ya kati.
Hali inazidi kuwa mbaya! Naskia kuna taarifa kuwa Marekani imepanga kuhamisha wanajeshi wake huko.
Tayari wanajeshi kadhaa wa Marekani washakufa huko middle East huu mgogoro unaelekea pabaya sana.
Na...
Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli.
Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.