Mimi kama kijana mwenye ndoto zangu binafsi, mwenye maisha ya hali ya kawaida, mwenye mambo kibao ya msingi ambayo nahitaji kuya-achieve nilikaa chini na kufikiria ni mazingira gani natakiwa kujitengenezea ili niwe katika Ari nzuri ya kujipambania.
Katika kufanya research yangu ndogo nikaona...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua...
Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo amefika katika Shule ya Msingi Kanindo ambapo amewataka wanafunzi kuhudhuria kikamilifu...
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.
Kuna...
SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA
"Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya
"Katika jitihada za kuboresha mfumo...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini mkoani Manyara Pauline Gekul amewataka wazazi na walezi kufuatilia mienendo ya watoto wao pindi wakiwa mashuleni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuboresha mazingira ya Shule pindi inapohitajika mchango wao...
Jeshi la Kenya (KDF) linafana juu chini kuhakikisha kila Askari mwenye cheo Cha kanali hawezi kupiga chafya bila rais na amir Jeshi mkuu wa nchi hiyo kupewa taarifa.
Sababu kubwa ya rais kuongeza umakini huo ni baada ya mapinduzi kadhaa yaliyotokea Afrika magharibi mengi yao yaliongozwa na...
Kwanza nianze kwa dhati kuwapongeza RPC Mara, OCD, OCS na OCs Bunda kwa kazi nzuri ambapo ushirikiano wao umeufanya mkoa wa Mara kuwa eneo tulivu na salama. Bunda kwa sasa ni eneo ambalo watu wanaweza kutembea usiku mnene pasipo hofu.
Pongezi pia kwa maafande Amos-kitengo cha cyber, Afande...
Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili.
Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima?
All in all ebu...
Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake.
Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali.
Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata...
Hii ndiyo Siri kubwa iliyopo na inayowatafuna wanandoa.Umeoa au umeolewa Kwa harusi yenye mbwembwe kibao huku mmefichiana makucha...kimbembe mmeanza kuishi uliyedhani ni maria mama mtakatifu kumbe ni mwajuma ndala ndefu🤣uliyedhani ni yohana kumbe ni Petro kumkataa yesu mara tatu kabla ya jogoo...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kinasema Chanjo za COVID-19 zimetengenezwa ili kupambana na magonjwa na hazijapandikizwa ‘microchips’ ili kufuatilia mienendo ya watu
Chanjo hufanya kazi ya kuchochea mfumo wa kuzalisha kingamwili, kama ambavyo mwili hufanya pindi unapopata maradhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.